KILINGENI
NA TAMADUNI MUSIC
P the MC
KILINGE ni sehemu
ambayo watu tofauti hukutana kila ijumamosi kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa
4:00 usiku ili kujadiliana mawazo kuhusiana na muziki wa HIP-HOP,KILINGE kinaandaliwa na tamaduni muzik
ambao ni umoja wa wasanii wa HIP-HOP.
Kilinge kinaandaliwa kwa watu wote walio kaitika utamaduni wa
HIP-HOP pasipo kujali wanatoka katika kundi au umoja gani.
Prod. Duke,Bonny P,Prod. Ray Technohammer,Prod.wille Hd na Songa
@ Kilingeni
Kimsingi kilinge kinasaidia kugundua na kuendeleza vipaji vya
wa sanii wachanga wasiokuwa na uwezo wa kurekodi ikiwa ni pamoja ya kuandaa
project kwa wasanii wote waio onesha uwezo katika kilinge,KILINGE kinatoa elimu
ya HIP-HOP na kubadilishana mawazo katika misingi hiyo zaidi ikisisitiza AMANI
NA UPENDO kwa wasanii wa HIP-HOP au mtu yeyote anaefuata misingi ya HIP-HOP.
AZMA.NIKK MBISHI,WAKAZI NA JAN B WAKITIMIZA MISINGI YA HIP-HOP KILINGENI
AZMA NA VIDEO PROD.IBRA
NIKK MBISH,JAN B,BONNY P NA WAKIAZI KATIKA KUELEKEZANA MISINGI YA HIP-HOP
P THE MCEE NA DANNY LAIZER
Hapa ni baadhi ya wasanii ambao tayari wamekwisha fanya kazi
zao tofauti tofauti aidha MIX-TAPE au ALBAMU ambazo pia zinapatikana kila
ijumamosi kilingeni na pia kwa mawasiliano mbalimbali kwenye mitandao ya
kijamii kama FACEBOOK,TWITTER,HULKSHARE
NA Blogs.
1. Artist Name:AZMA
Album Name:LOVE
STORIES
Number of
Songs: 18
Hit song:Kipimo cha
penzi
Pia ana Album yake mpya ya Videos ambayo ataiachia
hewani hivi karibuni
Artist Name: AZMA
Album Name: AZMA
ATTACK (VIDEO ALBUM)
Number of Videos: 18
2. Artist Name:NIKK MBISHI
Album Name: SAUTI YA
JOGOO
MIXTAPE NAME: MALCOM X
3. Artist Name:One the incredible
Album Name:Soga za
mzawa
4. Artist Name:Stereo
Album Name:African
Son
5. Artist Name:Nash MC
Album Name:Mzimu wa
shabban Robert
MIXTAPE
NAME: CHIZI
6. Artist Name:Kadgo
Mixtape Name: Join the Revolutions
7. Artist Name:Ghetto ambassador & Songa
Mixtape
Name:Mathematrix
8. Artist Name:Songa
Mixtape Name: WAKATI
9. Artist Name: Ghetto Ambassador
Album Name: Nasaha za
Ghetto
1. Artist Name: Mansuli
Album Name: Kina
kirefu
1. Artist Name: JAN B
EP Album
Name: “360”
PRODUCERS PROJECT
1. Producer
Name:Duke
Mixtape
Name:Underground Legendary Volume 1 & 2
. Producer
Name:Mujwahuki
Mixtape
Name:Mujwahuki
3. Producer
Name:AK 47
Mixtape
Name:Bunduki Midundo Vol.1
4. Producer
Name:Palla
Mixtape
Name:Hadhina Isiyothaminiwa
No comments:
Post a Comment