KILINGENI
NA TAMADUNI MUSIC
P the MC
KILINGE ni sehemu
ambayo watu tofauti hukutana kila ijumamosi kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa
4:00 usiku ili kujadiliana mawazo kuhusiana na muziki wa HIP-HOP,KILINGE kinaandaliwa na tamaduni muzik
ambao ni umoja wa wasanii wa HIP-HOP.
Kilinge kinaandaliwa kwa watu wote walio kaitika utamaduni wa
HIP-HOP pasipo kujali wanatoka katika kundi au umoja gani.
Prod. Duke,Bonny P,Prod. Ray Technohammer,Prod.wille Hd na Songa
@ Kilingeni
Kimsingi kilinge kinasaidia kugundua na kuendeleza vipaji vya
wa sanii wachanga wasiokuwa na uwezo wa kurekodi ikiwa ni pamoja ya kuandaa
project kwa wasanii wote waio onesha uwezo katika kilinge,KILINGE kinatoa elimu
ya HIP-HOP na kubadilishana mawazo katika misingi hiyo zaidi ikisisitiza AMANI
NA UPENDO kwa wasanii wa HIP-HOP au mtu yeyote anaefuata misingi ya HIP-HOP.
AZMA.NIKK MBISHI,WAKAZI NA JAN B WAKITIMIZA MISINGI YA HIP-HOP KILINGENI
AZMA NA VIDEO PROD.IBRA
NIKK MBISH,JAN B,BONNY P NA WAKIAZI KATIKA KUELEKEZANA MISINGI YA HIP-HOP